Pole sana Mkuu naona kweli Mods hawako fair watu wanakuchokonoa makusudi halafu na wewe ndio unayekuwa muhanga. Yaani wewe na UMUGHAKA huwa mnaonewa sana na Mods
Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo imefikia mwisho!
3 halafu wao wako wapi? Mnafikri mpira stage hii ya robo fainali ni kama kunywa vijikombe vya kahawa? Tambua pia kuwa wale ni Champions of Africa tena ni timu ya pili kwa ubora katika top ten