NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwanza nitoe kongole kwa mh Raisi Dr mama Samia suluhu kwa hamasa anayoifanya kwa timu zetu zinapokuwa zimefunga goli nakutoa zawadi ya mil 5 kwa kila goli hakika hii si yakubeza anasitahili pongozi.
Sasa yameibuka maneno kutoka kwa wachambuzi wa mchongo wachumia tumbo baada yakuona yanga kachukua pesa nyingi kutokana na kazi aliyopiga au kuvuna kile alichopanda kimataifa nakupata kitita Cha pesa si chini ya mil 30
Wachambuzi wamegeuza kibao nakujenga hoja eti simba inabidi ilipwe pesa nyingi maana inashiriki mashindano ya caf.
Hayo ni maneno ya mchambuzi jemedari, naimani kabisa haya maneno Kama simba wangechukua mkwanja mrefu huyu mchambuzi wa mchongo asingeyazungumza angepiga vigelegele nakuisifu simba.
Sasa basi usiipangie matumizi pesa ya mama Samia Kama unaona simba wanastahili kupata pesa nyingi ongezea pesa yako kutoka mfukoni mwako uwape simba Kama ulivyosema wanastahili kulipwa pesa nyingi,
Na siyo kutanua Domo tu hata motisha ya laki moja hauna hata ukiambiwa utoe elfu hamsini kwa kila goli huwezi kutoa.