Kama unaona simba wanapewa pesa kidogo baada ya kufunga magoli kimataifa basi yakupasa kuongeza pesa yako kutoka mfukoni mwako

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kwanza nitoe kongole kwa mh Raisi Dr mama Samia suluhu kwa hamasa anayoifanya kwa timu zetu zinapokuwa zimefunga goli nakutoa zawadi ya mil 5 kwa kila goli hakika hii si yakubeza anasitahili pongozi.

Sasa yameibuka maneno kutoka kwa wachambuzi wa mchongo wachumia tumbo baada yakuona yanga kachukua pesa nyingi kutokana na kazi aliyopiga au kuvuna kile alichopanda kimataifa nakupata kitita Cha pesa si chini ya mil 30

Wachambuzi wamegeuza kibao nakujenga hoja eti simba inabidi ilipwe pesa nyingi maana inashiriki mashindano ya caf.

Hayo ni maneno ya mchambuzi jemedari, naimani kabisa haya maneno Kama simba wangechukua mkwanja mrefu huyu mchambuzi wa mchongo asingeyazungumza angepiga vigelegele nakuisifu simba.

Sasa basi usiipangie matumizi pesa ya mama Samia Kama unaona simba wanastahili kupata pesa nyingi ongezea pesa yako kutoka mfukoni mwako uwape simba Kama ulivyosema wanastahili kulipwa pesa nyingi,
Na siyo kutanua Domo tu hata motisha ya laki moja hauna hata ukiambiwa utoe elfu hamsini kwa kila goli huwezi kutoa.
 
Kila jumatatu mpaka Ijumaa huwa yupo hewani kwenye kipindi cha Sports Headquater EFM unaweza ukampigia simu/ ukamwandikia kwenye mtandao wa IG kuanzia saa 4 kamili asubuhi maoni yako anaweza akayapata moja kwa moja inawezekana humu asiyaone
 
Hata humu yupo kaishaiona au wewe mtu wake wa karibu mpelekee hizi habari
 
Bint kazumari anapumuliwa yule asikuumize kichwa,goli bora la caf msimu alifunga mume wake sakho inakuaje aseme eti magoli ya shirikisho hayana maana sana kama ligi ya mabingwa,bint kazu wenzake wanambong'oa yule
 
[emoji16] hatari sana
 
Back
Top Bottom