Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani

Bora ww ni mkweli kabisa
 
Hata Huku Mikoani Wengine Tunaamka Saa Kumi Alfajiri Kumwagilia Mabustani
 
Kwa mwendo huo 3/4 ya watu wa Dar watahama...
 
Kweli kabisa waondoke hapo Dar wakatafute fursa sehemu nyingine
 
Mateso, umaskini sio sifa kabisa. Yan naunga mkono hoja japokuwa ni rahis kwa mtu asiokuwa na mbele wala nyuma kupata mchongo wa kufanya dar kuliko songea mfano jana nlikuwa sina hela ila ndani nlikuwa na bidhaa fulan za computer nikafungua app ya jiji nikatafuta wanaofanya biashara ya kuuza hizo bidhaaa tukanegoshiate bei nikachagua mwenye bei nzuri nikampelekea akanipa laki tatu zangu leo najua ntaangalia mpira kwa namna nnayotaka mimi, ila kama ingekuwa ruvuma ningepata wapi wateja zaidi ya mmoja ambaye unampigia simu saa nane saa tisa biashara inafanyika ? Mkuu mapambano ni popote ila DAR mwisho wa matatizo, pamoja na mateso yoote wanayopata watu ila wana nyumba wana familia na wanasomesha watoto hadi vyuoni na maisha yanaenda hata ukienda Manhattan kuna watu hawajiwezi ila huwatoi kule....
 
Ni kweli Dar ni pagumu ila kuna mzunguko mkubwa wa pesa tofauti na huko mbwinde.

Huko mbwinde hayo mazao utayoenda kulima utapata faida ndogo tofauti na ukiwa mtu kati wa mazao hauohayo ukiwa dar .

Mimi na ndgu zangu Poor Brain (huyu harudi kwao mpitimbwi) na Intelligent businessman (huyu hatudi kwao kaborando) hatuondoki dar, hili jua litatuchapa mpaka tutoboe dadeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…