Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Mm ndio ninayotumia na kuipenda,iyo Chrooma ina kiswahili?Google keyboard (Gboard) mm naikubali zaidi.
Ikifuatiwa na Chrooma keyboard.
Naomba link kama uko nayoMm ndio ninayotumia na kuipenda,iyo Chrooma ina kiswahili?
Nenda play Store utaikuta ndugu.Naomba link kama uko nayo