Kama unapenda Kiswahili soma hii

Kama unapenda Kiswahili soma hii

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Mara nyingi sana tumezoea kuona vicharazio vizuri na vingi vikiwa katika lugha za kigeni,hii imesumbua sana wengi kwenye simu zao hata pale inapokuwa on kwenye auto orrection.
Wengi hulalamika .....ooh nikiandika msg maneno yanajibadilisha...kwaio unatumia muda mwingi kuandika msg fupi tu.
Sasa nakupa VICHARAZIO VITANO VYENYE KAMUSI YA LUGHA YETU YA KISWAHILI
Hutapata shida tena ya kuandika, ukiandika sentensi nusu fasta inajiongeza.
1) Gboard
2)Touch Pal
3) Kika keyboard
Kama unazitaka zote Unaweza kuzipakua hapa
SmatSkills: Keyboard tano bora za kutumia kwenye simu yako
 
Google keyboard (Gboard) mm naikubali zaidi.

Ikifuatiwa na Chrooma keyboard.
 
Hii ya google inanitosha haina mbwembwe nyingi...zile zenye mbwembwe huwa zinazingua mfano fancy keyboard GO KEYBOARD N.K
 
Back
Top Bottom