Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Umecheza Spanish Portuguese???Hilo halina ladha kama la kucheza na watu. Nimelicheza sana mwisho wa siku nimeuninstall bze inaboaa
Umecheza version ganiNilishalifuta maana halinogi
Kama una tablet unaweza kuweka kijiwe popote na mkachezaNapenda kelele za kijiweni
LipoUkiingia playstore unaipata?
Matusi kidogo.. kudhihakiana, maneno ya shombo.. story za uwongo na ukwelk kijiweni kijiweni tuu.Halinogi kama la kijiweni
Ukiwa mfanya kazi wangu, kisha unaenda kucheza draft kazini au game ya aina yeyote nakutimua, inaonekana hauta kuwa na inovation yeyote kwenye kazi yakoKabla ya kupata jibu jiulize kazini simu mzima au mnaacha wazi??
Hilo Mi ndo nacheza now mwaka umeisha,nilikuwa sijui but nilipozoea nikaenda kucheza mtaani nikawa nawafunga sana
Unapenda au unajua kucheza Draft? Siku hizi vujiwe vya kucheza vimepungua sana, kwanini...?
Kumbe wazee vijana na watu wote wanashinda kwenye simu zao.
Sasa unaweza kucheza kwenye simu yako, angalia na kupakua usisahau kumpakulia mzee wako mwenye simu janja yake ili achezee popote, apunguze kwenda kijiweni unaweza kuangalia toleo kama la Tanzania na kupakua hapa Cheza Draft la Tanzania kwenye Simu yako sasa ~ SmatSkills
Wazee wa draft utawajua tu. Maneno mengi na majigambo mengi sana.Draft la kijiweni bhana? Enzi hizo napiga kete jiwe na kujishindia bonge la jogoo..