Kama unapesa ya kufuga na kulima mpunga wezesha ufugaji wa samaki anaitwa Pangasianodon hypophthalmus jamii ya kambale

Kama unapesa ya kufuga na kulima mpunga wezesha ufugaji wa samaki anaitwa Pangasianodon hypophthalmus jamii ya kambale

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Samaki wanasaidia kuleta mbolea yenye gesi kustawisha mazao kama mipunga,mazao ya kumagria kama maji yake ukiweka kwenye majabari ya mpunga.

Hii mbengu ni aina ya kambale ila mtanishukuru inaitwa Pangasianodon hypophthalmus.Ndani ya miezi sita inaweza kufikia 10-20 na sio jamii ya hapa inatoka asia ila inadaiwa tafiti nyingi inasemekana afrika ni bora zaidi.

Inadaiwa kuwa inavumilia mpaka joto.

Hii ni kutengeneza mabwawa.

ya kutunza maji makubwa hata vijimito au maziwa.

Elimu nawapa nimetumiwa toka kwa rafiki yangu Nigeria leo.

Soma siri 3,6,9 .Ndio maana mapepo na wapuuzi hii mada watageuza kuwa inamakosa.
images (33).jpeg
 
Kambale zipo mtoni mbona au hizi kambale zipi
 
Nafasi ya kupanda shimo hadi shimo ni cm ngapi??
 
Back
Top Bottom