Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF inamaliza mwaka in style. Hii kali .Jana usiku nilikuwa zangu tu nipo kitandani nimelala
Sasa mimi nilikuwa na exgteytion yangu mkononi
Mara nikasikia baba huyo mwanangu panda bus basi na treiont mimi nikajiuliza hivi huyu mimi au mbona naenda sokoni na wakati ni usiku
Zawadi zile za ghtiobt alikuwa nazo dada yangu uku tukiwa tunapandisha mlima ule
Yeye akasikia anasema si mbuzi yule kafika vipi uku mama akasema achana naye kuna polisi basi tukakaa hapo mapaja jioni mke wa kaka yangu akachukua kuni mbili akaruka juu watu tukacheka haaaaa ni atari sasa yule basi si akafika hapo kuongeya na yule jirani yake sisi tukawa tuna subiri baba afike Tutoke ndani ya nyuma
Yaani nilifurahi saana kweli maisha ni safari fupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni kwisha yaan amekwisha ubongo umeozaNdo Nini hiki[emoji848]