Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Mbeya kukaa mtaani ni ahueni zaidi kuliko hiyo 240,000/= kwa sababu hostel utalazimika kunjinunulia chakula. Hostel zao zenyewe sio nzuri ni kama dizaini ya Mabweni fulani hivi. Ukipata nyumba/Chumba chako maeneo ya Soweto (gharama kidogo kubwa kwa sababu ni karibu na Chuo), Ilomba, Sae na Mwanjelwa ni maeneo ambayo hutalazimika kupanda gari kwani unatembea na maisha yapo chini sana. Ukitaka kupanda gari walau kwa shilingi 300 kwenda na kurudi unaweza kuishi hata Nane Nane, Uyole, Mafiati, Airport, Soko Matola n.k
Kiufupi Mjin wa Mbeya ni mzuri sana kwa mtu mwenye maisha ya kawaida kama Mwanafunzi wa Chuo, ukipata mkopo utaishi bila shida yoyote. ONYO: Maeneo ya starehe kama vile Mbeya Carnival, Shaba Pub, Nebana na Pamodz ni hatari sana utafilisika (Utani!) .
Nondo pia zinatembea nje nje na mwaka jana tulizika Mwana Chuo wa TEKU
Vinginevyo Karibu sana Mbeya
Tafuta chumba eneo la Mama John hapo ni pua na mdomo na chuo kwa mwezi ni kama elfu 30.
Mbeya kukaa mtaani ni ahueni zaidi kuliko hiyo 240,000/= kwa sababu hostel utalazimika kunjinunulia chakula. Hostel zao zenyewe sio nzuri ni kama dizaini ya Mabweni fulani hivi. Ukipata nyumba/Chumba chako maeneo ya Soweto (gharama kidogo kubwa kwa sababu ni karibu na Chuo), Ilomba, Sae na Mwanjelwa ni maeneo ambayo hutalazimika kupanda gari kwani unatembea na maisha yapo chini sana. Ukitaka kupanda gari walau kwa shilingi 300 kwenda na kurudi unaweza kuishi hata Nane Nane, Uyole, Mafiati, Airport, Soko Matola n.k
Kiufupi Mjin wa Mbeya ni mzuri sana kwa mtu mwenye maisha ya kawaida kama Mwanafunzi wa Chuo, ukipata mkopo utaishi bila shida yoyote. ONYO: Maeneo ya starehe kama vile Mbeya Carnival, Shaba Pub, Nebana na Pamodz ni hatari sana utafilisika (Utani!) .
Nondo pia zinatembea nje nje na mwaka jana tulizika Mwana Chuo wa TEKU
Vinginevyo Karibu sana Mbeya
Ha ha ha ha Mama John ni Eneo au mtaa kama ilivyo kwa Aziz AllyAsante mkuu,huyu mama ulinitajia tena siku nyingine,anajishughulisha na hii kazi ama? Hata hivyo ntamtafuta nikifika. Kaka uko Mbeya pia?
Asante mkuu,huyu mama ulinitajia tena siku nyingine,anajishughulisha na hii kazi ama? Hata hivyo ntamtafuta nikifika. Kaka uko Mbeya pia?
Dah kaka Mama John alikuwepo kitambo na alikua anamiliki kilabu kikubwa sana so alipata umaarufu kuanzia hapo ingawa kilishavunjwa na yamefunguliwa maduka pale. Ukiwah kuja kabla ya mwezi wa kumi utanikuta ntakupa matembez
umepangiwa mbeya daaa pole sana.kuwa mwangalifu na wapiga nondo.ukijisahau kidogo tu imekula kwako. Unapotembea usiku usipende kutembea pekeyako.
Dah hiyo tarehe me mwenyewe ntakua Dodoma kitambo sana. Kuhusu chumba labda ufanye mpango mapema la si hivyo utasana fanya mpango mapema ili usihangaike.
Gheto hadi vyumba ya booktatu unapata.
acha kumdanganya mwenzio wewe labda iwe sio mbeya mjini lakini kama ni mbeya mjini hata maeneo kama ILOLO, MABATIN, MAKUNGURU, hupati chumba cha book3 nimeish mbeya zaid ya miaka2 nimemaliza Sangu high school. Mtoa mada nenda ILOLO ULIZA KWA MZEE KIPAGILE ANAVYUMBA VYA 20,000 wanaish madent watupu wanapikia umeme nenda kajionee
Gheto hadi vyumba ya booktatu unapata.