unaonekana uko vema kichwani. kilala heri kwenye mauzo
Chukua huu ushauri ufanyie kazi, vinginevyo unapoteza mb zako kutangaza hilo gari. Utauza Mil10 kushuka chini zaidi ya hapo labda ukawauzie huko Bariadi ndani ndani hukoMkuu km ni kwa Bukoba hiyo bei ni sawa maana wa Uganda wanaweza kusogea
Hiyo Gari ni Type Manufacture 2001 kurudi 1998 bei ungeweka MAELEWANO 10,000,000/- na sio 15M.
samahani kukuingilia biashara yako lkn tufunguke kwa sasa hali ni mbaya kwa magari yote km hata hizi za 2008 zinafika 13M au 10M ni mashaka kwa biashara ya magari hasa hizi Old Model.
Jaribu kucheck Zoomtanzania
Used 2005 Toyota Harrier at TSh 13,000,000
View attachment 1453245
Chukua huu ushauri ufanyie kazi, vinginevyo unapoteza mb zako kutangaza hilo gari. Utauza Mil10 kushuka chini zaidi ya hapo labda ukawauzie huko Bariadi ndani ndani huko