Car4Sale Kama unatafuta Harrier basi chukua hii Harrier old model namba DQN kwa shilingi 15 milioni tu

Car4Sale Kama unatafuta Harrier basi chukua hii Harrier old model namba DQN kwa shilingi 15 milioni tu

T1986MCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
211
Reaction score
260
Wakuu salaam.

Ninaunza gari yangu Toyota Harrier model ya mwaka 2001. Vvti injini, CC 2360, rangi yake silver. Gari nimeitumia kwa mwaka mmoja na wiki mbili sasa. Gari ni imara. Nimeitunza vizuri. Haina shida yoyote. Kuna kitu ninataka kufanya ndiyo maana nimeamua niiize. Mimi ndiyo mmiliki wa hii gari.

Bei ni 15 milioni tu.

Dalali unaruhusiwa kuuza kwa bei yoyote ile ilimradi mimi milioni 15 yangu ipatikane.

Karibu wakuu. Location ilipo gari ni Bukoba, Kagera. Karibu umiriki usafiri.

Kwa mawasiliano na picha zaidi napitikana kwa 0716 69 54 65.

20200517_185638.jpeg
20200517_185627_mfnr.jpeg
20200517_191555_mfnr.jpeg
20200517_183501.jpeg
20200517_183517.jpeg
20200517_183437.jpeg
20200517_183413.jpeg
20200517_183546_mfnr.jpeg
20200517_183210.jpeg
20200517_183639_mfnr.jpeg
20200517_220331.jpeg
20200224_082243_mfnr.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu km ni kwa Bukoba hiyo bei ni sawa maana wa Uganda wanaweza kusogea
Hiyo Gari ni Type Manufacture 2001 kurudi 1998 bei ungeweka MAELEWANO 10,000,000/- na sio 15M.

samahani kukuingilia biashara yako lkn tufunguke kwa sasa hali ni mbaya kwa magari yote km hata hizi za 2008 zinafika 13M au 10M ni mashaka kwa biashara ya magari hasa hizi Old Model.

Jaribu kucheck Zoomtanzania
Used 2005 Toyota Harrier at TSh 13,000,000
1589793656487.png
 
View attachment 1453245
Chukua huu ushauri ufanyie kazi, vinginevyo unapoteza mb zako kutangaza hilo gari. Utauza Mil10 kushuka chini zaidi ya hapo labda ukawauzie huko Bariadi ndani ndani huko
 
Back
Top Bottom