mimi wamenitumia form ya kujaza ndio nahangaika nayo hapa niwarudishie ila kuna fees ya kama 50,000/= na asilimia ishirini ya mshahara sasa hii haieleweki kidogo kama hawa jamaa wapo hapa watueleweshe haya malipo yakoje?
ACHANA NAYO FASTA, huo utapeli! hakuna AGENCY wanayomtoza pesa mtu anaetafuta kazi, wao wanapata pesa kutoka kwa wanaoajiri sio wanaoajiriwa, hiyo mode ya kizembe, achana nayo, we ona tu hata email yao wanatumia blabla@[SIZE=3][B]GMAIL.COM[/B][/SIZE], are the serious? mtaibiwa, ACHANENI NAYO!