Kama unataka harusi nione

Kama unataka harusi nione

Status
Not open for further replies.
safi sana, vp una farasi weupe sita wa kukokota gari la maharusi?
 
Bebii mi nataka mume vipi nayo nikuone?
Chagua mmoja hapa chini

Chika-Umeh-Jackson-Ike-White-Wedding-1-October-2011-BellaNaija-015-600x399.jpg
 
Bebii unaweza kupamba eneo kama hili ?.Ndo mdogo wangu anafanyia sherehe yake 29/10/2011.Kazi kwako
DSC00577.JPG
 
Bebii mbona kumbi zako zinaonekana ndogo za harusi za ki-mamtoni tuu. Si unajua huku kumbi lazima zi-accomodate kuanzia 300 to 800, si unajua masawee mama koku wote wanatakiwa waje shuhudia??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom