Kama unataka high speed downloads

vp kuhusu zantel? kuna mtu kanambia kuwa 2GB ni 15,000Tsh jamani ni kweli?
 
"Pasco_jr_ngumi" "MWANDISHI AMEOZA KICHWA? Mbona haelezi namna ya kununua hzo 400mb za airtel? "

Acha lugha za kwenye blog za kishenzi, Grow up !!
 

CP japo sijakusoma sawasawa ila nna swali kwako, mi nna TTCL mobile partner lakini nataka ku-unlock ili iweze beba kadi yoyote ya CDMA, nifanyeje?
 
Niko na ya voda apa kila mwezi wananila kilo for 3GB ila speed hawako juu kiivyo naona kuna haja ya kujiunga zantel
 
Niko na ya voda apa kila mwezi wananila kilo for 3GB ila speed hawako juu kiivyo naona kuna haja ya kujiunga zantel

Dah! Pole na maumivu Mkuu, Zantel 2Gb/weekly kwa 10,000/= hapa nahisi kuna nafuu kidogo.
 
Dah! Pole na maumivu Mkuu, Zantel 2Gb/weekly kwa 10,000/= hapa nahisi kuna nafuu kidogo.
Airtel
Airtel 3gb ni 15,000/= weekly. Tatizo mkijiunga wengu huku du nafkiri speed inaweza ikaja kushuka kama zantel. speed ya airtel ni nzuri maybe vile wateja si wengi sana. ila so far ni wazuri sana. voda ni wazuri pia ila gharama zao zinahitaji marekebisho. kunawajanja wananunua modem za zain kutoka kenya na wanakuja kuuza huku tz. kenya wao wanauza sh ksh 1600/= ambayo nia sh Tsh 28,800/= lakini zain ya hapa kwetu bei ni sh 60,000/= najiuliza kitu ni kilekile kampuni ni ileile lakini bei huku iko juu sana whyyyyyyyyyyy.
 
Hiyo nenda kwenye sehemu ya kutuma ujumbe mfupi kwenyw simu yako halafu andika neno "INTERNET" tuma kwenda 15444.
NB:-usiweke hizo funga na fungua semi kwenye neno internet.
 
utafiti unaonyesha ni asilimia 7 tu ya watanzania ndio wanatumia internet, wakati wenzetu kenya, uganda na rwanda wapo ktk asilimia 22, ila watz tunaongoza ktk ukanda huu kwa matumizi ya simu, labda huo mkonga utaleta unafuu wa hizi garama na kasi, tungoje tuone.
 
Gharama za matumizi ya internet Kenya iko juu ukilinganisha na hapa kwetu. Ninachosema mimi ni kuwa wao wanaunafuu wa kununua hiyo device yaani modem. mkonga utaleta nafuu kwenye garama za matumizi tu na si kwenye manunuzi ya device.
 
Wee acha uchoyo
Wote twaja huko huko bei yao ni nafuu
 
Kuna IC inaitwa lm317 ni voltage stabilizer are you the manufacture?
 

Calvin naomba msaada kidogo natumia modem ambayo tayari nisha unlock kwa kufuata maelezo uliyonipa but still window ni ya zain tho naweza tumia laini yoyote, the problem comes, nikitaka fata procedures ulizoweka za kwenda kwenye tools>option>network type thea nafika but kwenye selection hapako active.. naomba msaada kidogo broo
 

haiwezi kuwa active kwasababu uko connected. press disconnect halafu nenda kwenye tools>>>> utakuta pako active
 
zantel unajiungaje na 250mb per month?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…