ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Eneo linalotwama maji, linaonekana tu kama ni mtu makini. Slope ya eneo. Majirani, mto vinasema kila kituusinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
Slope kaiweke msimbazi basi maji yapite 😂😂Shida ni umasikini tu mtu unakomaa kujenga kwenye eneo la unaweza slope ukaweka miundombinu ya maji na baraba maji yakapita vzr tu kwa sababu mvua ni dakika au masaa machache tu tatizo ni pale mnapoamua kujenga kwenye slope mpa naziba mpaka njia za maji