Kama unataka kufuga ng'ombe njoo ismani

Kama unataka kufuga ng'ombe njoo ismani

Jumapili mbuzi wanaanza choma kuanzia sangapi..? bei inaendaje uko naskia pako vizuri... Jumapili ijao acha kesho tukutane wadau tukaangalie bei za mifugo na mbuzi choma..

Agro Business Iringa
 
Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!!
Tafadhali mtoa maada, ukipata ujumbe huu njoo ili nije tufanye biashara.
 
Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!!
Mkuu Kipoma naomba mawasiliano yako nipate maelekezo juu ya sulaa hili kwani na mpango wa kuja Ismani na kuweka makazi!
 
Back
Top Bottom