Erick B Senior Member Joined May 25, 2017 Posts 107 Reaction score 81 Aug 26, 2017 #41 Jumapili mbuzi wanaanza choma kuanzia sangapi..? bei inaendaje uko naskia pako vizuri... Jumapili ijao acha kesho tukutane wadau tukaangalie bei za mifugo na mbuzi choma.. Agro Business Iringa
Jumapili mbuzi wanaanza choma kuanzia sangapi..? bei inaendaje uko naskia pako vizuri... Jumapili ijao acha kesho tukutane wadau tukaangalie bei za mifugo na mbuzi choma.. Agro Business Iringa
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 Aug 27, 2017 #42 kipoma said: Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!! Click to expand... Tafadhali mtoa maada, ukipata ujumbe huu njoo ili nije tufanye biashara.
kipoma said: Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!! Click to expand... Tafadhali mtoa maada, ukipata ujumbe huu njoo ili nije tufanye biashara.
Averoes JF-Expert Member Joined Jan 30, 2014 Posts 985 Reaction score 513 Aug 28, 2017 #43 Bei ya nyama kwa jumla frozen ikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,417 Reaction score 6,149 Aug 28, 2017 #44 kipoma said: Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!! Click to expand... Mkoa upi huo mkuu tuongee biashara Sent using Jamii Forums mobile app
kipoma said: Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!! Click to expand... Mkoa upi huo mkuu tuongee biashara Sent using Jamii Forums mobile app
M Mshimba1971 Member Joined Dec 13, 2021 Posts 75 Reaction score 67 Jun 21, 2022 #45 kipoma said: Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!! Click to expand... Mkuu Kipoma naomba mawasiliano yako nipate maelekezo juu ya sulaa hili kwani na mpango wa kuja Ismani na kuweka makazi!
kipoma said: Huku bei ya mifugo ipo chini , ng'ombe na mbuzi! changamkia fursa kama unampango was kufuga au biashara kwa baadae!!! Click to expand... Mkuu Kipoma naomba mawasiliano yako nipate maelekezo juu ya sulaa hili kwani na mpango wa kuja Ismani na kuweka makazi!