Kama Unataka Kufunga Biashara Yako au Kupumzika Kufanya Biashara Kwa muda Fulani, Fuata hatua hizi

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Kama ukisajili biashara yako Brela na ukatalka kufunga au kuacha kufanya kwa muda hizi ni hatua za kufuata;

1. Funga jina la biashara
Hapa Kuna processes kadhaa
-Log in kwenye account yako ya Brela
-Chagua new services
-Chagua business name cessation
Brela watakutaka uandike sababu ya wewe kufunga jina la biashara, sasa hapa unaweza kuandika sababu yoyote.

Baada ya hapo Brela watataka I upload documents mbili
-Consolidated form
-Business name cessation form

Kisha utalipia fee ya kufunga

2. Funga TIN

Hapa unaweza kwenda TRA na ukawaeleza kua unafunga biashara watafungia TIN na hivyo utakua free from Taxes.

I hope this is helpful.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni au jina la biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Very helpful thank you.

Yaani unafunga biashara kwa sababu unakula hasara, na bado wanataka ulipie gharama ya kufunga biashara.....hahaha.
 
Cha kuongezea kama ulifungua kampunj utatakiwa uendelee kufile nil returns kwa upande wa TRA..ambapo kutakua na kodi za PAYE,SDL kufile statement of estimate i.e SETPI, na ile return of income utaattach zile barua za kufunga biashara etc...tofuati na hapo penalty zinaendelea kusoma kama kawaida...
 
Facts
 
Back
Top Bottom