Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sio wote watakao kuja kuipenda compyuta au laptop kwenye matumizi wanayotaka ila inamchango mkubwa kama utajiwekea nyumbani kwako watoto wakitumia.
Naeleza ili sababu nimeshuhudia vipaji vingi ambavyo ukifatilia nyumbani kwao walikuwa wamewekewa mfano kama maproduza,wahandisi wa michoro,wataalamu wa IT na n.k.
Chunguzeni wataalamu wengi historia zao utaona kabisa walijifunza majumbani.