Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Bwashee , ulichapiwa na watu wa huo ukanda nini?
Halafu awe amejaalia kalio...alhamdulilah...nishapitamo...akili ku mkichwa...Fak endi flai..donti lavu andi krai....Kama unataka kuona chungu ya ndoa we nenda kaoe kanda yq ziwa utajuta hawa watu wana tamaa ya mali aisee sijawahi kuona aisee wajeuri,wajivuni na viburi na ushirikina kwao ni kama jadii yao tu wanaweza kukupiga limbwata mpaka ujute kusema ukweli Mimi nimenusurika kwa uwezo wa MwenyeziMungu tu ila bila hivyo ningejuta aisee
Hawa kutoka Simiyu ndiyo usiombe kabisa kwanza wenzao ajabu kutoka shinya,Mwanza,Geita na Tabora wanawaogopa na wanawakwepa kuwaoa wanawajua kutokana na ukatili wao,ujeuri,kiburi na ujivuni ambao haona faida yoyote ile aisee
Kamwe usipende mwanamke.....muhimu kumpiga miti na kutembea....Hahah! Hata chai bado hatujanywa tayari mmeshaanza kutoa milio!, kweli kiumbe mwanamke mtu mbad mwaisa!.
Wazee tunasema..kuchapiwa siri ya ndani....Bwashee , ulichapiwa na watu wa huo ukanda nini?
Huyu jamaa mada zake ni za kanda ya ziwa tu hasa simiyuBwashee , ulichapiwa na watu wa huo ukanda nini?
Mby zaidi awe amebeba matako makubwaSio wao tu, mwanamke akishajiona ni mzuri wa sura na umbo/shape huwa anakuwa changamoto sana kuishi nae.
Wengi wapo hivyo, sababu kubwa ni kuona soko lake lipo juu, anatongozwa na watu wenye uwezo zaidi yako, anapewa sifa kula siku, anaambiwa akuache ili aende kwa yule, anapewa pesa bila kuomba nk.
Sasa, bahati mbaya sana nao akili zao hazioni mbali, atafikiri anapendwa sana, hivyo kum-handle hapo ndani inaweza kuwa kazi sana.
Akili zote zinakuwa matakoni, hawaoni mbali.Mby zaidi awe amebeba matako makubwa
Stop this nonsense kama vipi Kaoe kijijini kwenu.Kama unataka kuona chungu ya ndoa we nenda kaoe kanda yq ziwa utajuta hawa watu wana tamaa ya mali aisee sijawahi kuona aisee wajeuri,wajivuni na viburi na ushirikina kwao ni kama jadii yao tu wanaweza kukupiga limbwata mpaka ujute kusema ukweli Mimi nimenusurika kwa uwezo wa MwenyeziMungu tu ila bila hivyo ningejuta aisee
Hawa kutoka Simiyu ndiyo usiombe kabisa kwanza wenzao ajabu kutoka shinya,Mwanza,Geita na Tabora wanawaogopa na wanawakwepa kuwaoa wanawajua kutokana na ukatili wao,ujeuri,kiburi na ujivuni ambao haona faida yoyote ile aisee
Kama unataka kuona chungu ya ndoa we nenda kaoe kanda yq ziwa utajuta hawa watu wana tamaa ya mali aisee sijawahi kuona aisee wajeuri,wajivuni na viburi na ushirikina kwao ni kama jadii yao tu wanaweza kukupiga limbwata mpaka ujute kusema ukweli Mimi nimenusurika kwa uwezo wa MwenyeziMungu tu ila bila hivyo ningejuta aisee
Hawa kutoka Simiyu ndiyo usiombe kabisa kwanza wenzao ajabu kutoka shinya,Mwanza,Geita na Tabora wanawaogopa na wanawakwepa kuwaoa wanawajua kutokana na ukatili wao,ujeuri,kiburi na ujivuni ambao haona faida yoyote ile aisee
πππWazee tunasema..kuchapiwa siri ya ndani....
Kwa sasa kupenda mwanamke ni jau,,,,muhimu kusuuza rungu halafu mwendo chap kwa haraka