Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Na vijana sasa hivi wanaoa kwa show off. Wakapate sifa bar nani ana mke mzuri. Basi vulugu tupu.Sio wao tu, mwanamke akishajiona ni mzuri wa sura na umbo/shape huwa anakuwa changamoto sana kuishi nae.
Wengi wapo hivyo, sababu kubwa ni kuona soko lake lipo juu, anatongozwa na watu wenye uwezo zaidi yako, anapewa sifa kula siku, anaambiwa akuache ili aende kwa yule, anapewa pesa bila kuomba nk.
Sasa, bahati mbaya sana nao akili zao hazioni mbali, atafikiri anapendwa sana, hivyo kum-handle hapo ndani inaweza kuwa kazi sana.