Kama unataka kuiona ndoa ni ngumu, oa mwanamke kutoka kanda ya ziwa hasa hasa hawa warefu na weupe

Sasa hao afadhali, je ukimpata wa Shelui?
Anza kumchukulia kama ni mtu wako wa kustarehe nae, asiwe anakuuliza maswali ya kijinga kama kwanini hujanipigia simu, au upo wapi.
Ukishamsoma weka ndani na ajue kuna mwenzake ingawa hana uhakika. Wanawake warembo wanajulikana na kila mwanaume anataka kula nao starehe na wana wanaume wao wanaowawezea.
 
Vijana SHIKENI hiki.
 
Hawa kutoka Simiyu ndiyo usiombe kabisa kwanza wenzao ajabu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita na Tabora wanawaogopa na wanawakwepa kuwaoa wanawajua kutokana na ukatili wao, ujeuri, kiburi na ujivuni ambao haona faida yoyote ile aisee
Haya ya kweli au umeamua tu kuwachafua ndugu yangu, uwe na ubinadamu basi mboni hatujayasikia matukio makubwa kutoka huko km kweli wapo hivyo unavyowasema?
 
Kwa hiyo Shinyanga, Mwanza na Geita siyo kanda ya ziwa?!
Vimeo org viko Nachingwea Tunduru, Newala nk
 
Mkuu nimezaa na msukuma na nimeishi usukumani nusu niuawe na kuumizwa kwasababu ya mali tu yule mwanamke alikuwa anashirikiana na ndugu zake kunifanyia ndivyo sivyo na mwanamke wa kisukuma anamsikiliza kaka yake na wajomba zake kuliko wewe mume wake utaniambia nini kuhusu wasukuma nawajua deep down wanawake wengi wa kusini kwao mali si kipaumbele japo kuna baadhi ndiyo wapumbavu sana
 
Jirani yangu mwalimu kutoka mbeya nusura auawe na mke wake msukuma wa Bariadi na alipewa limbwata Rehema za Mwenyezimungu tu halafu unanimbia kuhusu wanawake waekisukuma ni wajinga na katili sana
Makabila yote yana watu makatili, hakuna kabila takatifu! Ila kabila la wasukuma ni kati ya makabila ambayo bado uwezekano wa kupata mwanamke anayefaa ni mkubwa sana. Ndiyo maana hata wewe kwenye posti yako umetaja positively Mwanza, Geita na Shinyanga....au ulidhani huko wanatoka Wandonde?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…