Kama unataka kuiona ndoa ni ngumu, oa mwanamke kutoka kanda ya ziwa hasa hasa hawa warefu na weupe

Tunachokosea vijana ni kuparamia kuoa popote, ili mradi umevutiwa na msura!

Kuna tamduni zingine ambazo haziigizwi wala hauwezi ukajifunza, hivyo ni vema watu wakaoana kwa kuangaliana tamaduni zao, hilo ni jambo jema kabisa.

Hao ulioongelea wewe, kama umeongelea Wanyantuzu, wala haujakosea ni wanawake watata sana, wanastahili kuolewa na wanaume wa kabila lao, kabila tofauti au msukuma wa mikoa mingine hawezi kummudu.

Huko wanawake warefu(nghunghuhu) wana thamani kubwa na wanaolewa kwa mahari ghali, wakifuatiwa na wanawake weupe.
 
Ila jamani kuna mdada mmoja wa simiyu mi pia nilikua nae ofsi moja mmmh yule dada anajiona,anadhalau na kiburi pia anapenda hela kuliko kitu chochote hakatai ofa yoyote.
Huyo lazima atakuwa ametokea LAMADI Kule ni km pwani ya simiyu wajanja wajanja sana!
 
Ila jamani kuna mdada mmoja wa simiyu mi pia nilikua nae ofsi moja mmmh yule dada anajiona,anadhalau na kiburi pia anapenda hela kuliko kitu chochote hakatai ofa yoyote.

Wanyantuzu hao. Hao wapo hivyo, hata wasukuma wenzao wanawasema kwa majivuno na matusi. Nilishangaa msukuma mmoja kukataa basi lililokuwa linapitia Bariadi akisema kuwa hilo lazima litakuwa limebeba wanyantuzu, nikamshangaa, nikamwuliza kwani wanyantuzuwatakuhusu nini kama abiria? Akasema kwenye basi wanapiga kelele, na mazungumzo yao huwa ni matusi matupu, ukiwa umesafiri na wanafamilia au watu unaoheshimiana nao, inakuwa ni aibu tupu!
 
kwa haya maelezo yako tu yanajieleza huna HELA mkuu.

TAFUTA HELA
MAVUMBA
MRUNGULA
MAPENE
KICHELE AU KIPUNGA
ULEZI
MAWE
utaheshimika na mkeo na ndugu zake.

Kama hujui ngoja nikuibie siri.
  • wanawake wa kisukuma wanapenda mwanaume mpga kazi na mleta mabadiriko nyumban.
  • wanawivu wa maendeleo akishaolewa anajua anaenda kujenga mji na maisha pamoja na mmewe.
Sasa wew fanya uzembe atakudharau na kukuacha.
 
Mimi ndiyo nilimuacha kwa tamaa zake za Mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…