Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Na vijana sasa hivi wanaoa kwa show off. Wakapate sifa bar nani ana mke mzuri. Basi vulugu tupu.Sio wao tu, mwanamke akishajiona ni mzuri wa sura na umbo/shape huwa anakuwa changamoto sana kuishi nae.
Wengi wapo hivyo, sababu kubwa ni kuona soko lake lipo juu, anatongozwa na watu wenye uwezo zaidi yako, anapewa sifa kula siku, anaambiwa akuache ili aende kwa yule, anapewa pesa bila kuomba nk.
Sasa, bahati mbaya sana nao akili zao hazioni mbali, atafikiri anapendwa sana, hivyo kum-handle hapo ndani inaweza kuwa kazi sana.
Sijui kuna mahusiano gani kisayansi kati ya matako na akili kwa upande wa jinsia ya kike. In most cases mwanamke mwenye matako makubwa anakuaga hana akili.Mby zaidi awe amebeba matako makubwa
Pesa mnai-overrate sana, ukianza kushika vibunda wala hautaona maajabu yake. Ukiwa na hela hata njaa tu hausikii, tena ndio uwe workaholic sasa, unaweza ukajikuta upo ofisini siku nzima mpaka jua linazama ndio unakumbuka haujapata lunch.kwa haya maelezo yako tu yanajieleza huna HELA mkuu.
TAFUTA HELA
MAVUMBA
MRUNGULA
MAPENE
KICHELE AU KIPUNGA
ULEZI
MAWE utaheshimika na mkeo na ndugu zake.
Kama hujui ngoja nikuibie siri.
Sasa wew fanya uzembe atakudharau na kukuacha.
- wanawake wa kisukuma wanapenda mwanaume mpga kazi na mleta mabadiriko nyumban.
- wanawivu wa maendeleo akishaolewa anajua anaenda kujenga mji na maisha pamoja na mmewe.
Wewe ukitaka kuona maajabu, pata muda, nenda vijiji vya maeneo hayo niliyoyataja utashindwa kushangaa!Ila wanawake akili zao bhana. Sasa akifilwa hasara ni yake au ya mwanaume.!
ilifaa akuombe ushauri kwanza namna ya kuishi na dada zetu.Ebu tuma picha yake na namba yake ya simu tukushauri jambo.
Bhasukuma tolebhachangamku
tafta hela, wasukuma niwapambanaji wanawake wanajua hvo.Mimi ndiyo nilimuacha kwa tamaa zake za Mali
umenena kweli mkuu, ila ukiwa na pesa mwanamke hatakudharau kivile na hata akienda hautababaikaPesa mnai-overrate sana, ukianza kushika vibunda wala hautaona maajabu yake. Ukiwa na hela hata njaa tu hausikii, tena ndio uwe workaholic sasa, unaweza ukajikuta upo ofisini siku nzima mpaka jua linazama ndio unakumbuka haujapata lunch.
Kuwa na hela haimaanishi usifanye risk assessment linapokuja suala la kuchagua mke wa kuoa, kwamba hata mwanamke mwenye reckless past au kalelewa katika misingi mibovu akifika tu kwako pesa zako zitambadilisha? Mnajidanganya sana vijana.
idanganye sasa hauna hela wewe unahisi hela ndiyo kila kitu?umenena kweli mkuu, ila ukiwa na pesa mwanamke hatakudharau kivile na hata akienda hautababaika
Jidanganyetafta hela, wasukuma niwapambanaji wanawake wanajua hvo.
Sasa wew ukiwa mvivu mwanamke ataona huko mbele maisha sio mazuri.
Kama unavojua wanawake ni wepes kuona mbele kwa hisia
ndo maana umeachwa chanzo unavojitetea na kujipa moyo.J
idanganye sasa hauna hela wewe unahisi hela ndiyo kila kitu?