KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya.

Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA.

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
 
Attachments

  • Screenshot_2024-06-25-13-07-49-829_com.lbe.parallel.intl-edit.jpg
    Screenshot_2024-06-25-13-07-49-829_com.lbe.parallel.intl-edit.jpg
    892.8 KB · Views: 6
Wasanii wa nchi YAKO wanasimama na Wananchi au wanaunga mkono serikali kwa kilakitu.?
 
Attachments

  • VID_38710307_082512_683.mp4
    6.2 MB
Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya.

Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA.

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
Hakuna uzalendo wowote hapo ni njaa na bangi zinasumbua 😂😂
 
Back
Top Bottom