Hatujasema hatupati na hakuna aliesema hivyo, Ila kinachozungumzwa ni mizigo kupungua! Usibadilishe mada, huo ndio msingi wa hoja!!Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia
http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports
Ukiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
Kwa hili tuangalie wapi tulipojikwaa la sivyo bandari zetu zitaanza kufuga samakiHalafu ukute tonnage ya huo mzigo ni balaa
Mkuu hapo namba tatu jipange upyaKwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
ukijumlisha na expected mombasa wana 65 sie 34Ukiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
Tumeachwa mbaliUkiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
Kateleza huyooHatujasema hatupati na hakuna aliesema hivyo, Ila kinachozungumzwa ni mizigo kupungua! Usibadilishe mada, huo ndio msingi wa hoja!!
[emoji23][emoji23] utani huu sasaKwa hili tuangalie wapi tulipojikwaa la sivyo bandari zetu zitaanza kufuga samaki
Nimefungua haifunguki. Lkn jana niliangalia tv1 habari, makampuni ya kusafirisha mizigo kwa njia ya bahari yako hoi. Kuna moja limetangaza hasara ya usd 5 billion ndani ya wiki moja. Hivyo hali ni tete kwa woteUnaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia
http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports