Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makusanyo yanaongezeka vipi kama neli zimepungua!!Kwa nini watu wanashindwa kuelewa ukweli mwepesi?
1. Meli zilzokuwa zinaleta mizingo ya kiujanjajanja na kukwepa kodi haziji tena bandari ya Dar. Zimehamia kwingine.
2. Kwa hiyo meli zinazokuja Dar zimepungua maana zimebaki zile tu za mizigo halali zisizokwepa kodi ya serikali.
3. Makusanyo ya kodi kwenye bandari ya Dar imeongezeka mara dufu.
4. Sasa tatizo ni lipi? Unataka tu mameli yajazane pale bandarini yakipiga dili sisi hatupati kitu, ndiyo ufurahi? Au sisi tunachotaka si ni pesa?
Umeandika kiingereza leo!!Numbers don't lie.
Hata wanywa viroba wameona bandari ya dar imekimbiwa.
utakuwa fair kwenye hii claim iwapo utaonyesha kwa mwaka uliopita Mombara to Dar ratio ilikuwaje maana mnapenda tu kubwabwaja bila data. Maana Current ratio ni kama 1/3. Sasa mwaka jana na mwaka juzi ratio ipoje? Nimeangalia bandari nyingine inaitwa Beira yenyewe ratio yake ipo sawa na yetu. Je kama mizigo ya Zambia haipiti tena Dar inapitia wapi? Beira au?Ukiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
Hiyo ni hali halisi ya meli zilizokuwa katika bandari tajwa. Hiyo ligi nyingine unayotaka kuianzisha hainihusu.utakuwa fair kwenye hii claim iwapo utaonyesha kwa mwaka uliopita Mombara to Dar ratio ilikuwaje maana mnapenda tu kubwabwaja bila data. Maana Current ratio ni kama 1/3. Sasa mwaka jana na mwaka juzi ratio ipoje? Nimeangalia bandari nyingine inaitwa Beira yenyewe ratio yake ipo sawa na yetu. Je kama mizigo ya Zambia haipiti tena Dar inapitia wapi? Beira au?
umeclaim kwamba zimeshuka bongo na zimeongezeka mombas kwa hiyo inabdi uprove hiyo hypothesis yako kwa data..Hiyo ni hali halisi ya meli zilizokuwa katika bandari tajwa. Hiyo ligi nyingine unayotaka kuianzisha hainihusu.
Huu usomi mwingine ni shida sana na wakati mwingine unaweza kubishia uhalisia. Hiyo ni hali halisi ilivyo, nimekuwekea meli zilizokuwepo bandarini kwa siku ile. Ukitaka kufahamu ni kwa nini na kwa sababu gani Bandari za Tanzania kwa ujumla wake zinashindwa na Bandari moja ya Kenya fanya utafiti na utakuja suluhu la hilo tatizo. Naona unatuletea vitu vya ajabuajabu. Mara hypothesis mara data, nashindwa kuelewa kama unaelewa maana ya neno 'hypothesis' au 'data'. Mwalimu wako wa Quantitative Research anapata shida sana. Na sijui kama utatoka, hii ni ishara ya supp. Ungerudi darasani upya ili ufahamu maana ya hayo maneno halafu ndio uje jamvini ili ujimwage kisawia.umeclaim kwamba zimeshuka bongo na zimeongezeka mombas kwa hiyo inabdi uprove hiyo hypothesis yako kwa data..
Kuna claim ya kusema kwamba Dar meli zimepungua na si kwamba Dar padogo na ndo wengi wanachojaribu kusema kwa hiyo nilidhani na wewe unasupport hiyo claim. Kumbe hoja yako imejikita kwenye size. Lakini kuna wanaosema zimepungua ndo mimi nikawa nauliza relative tu wapi? Lazima kuwa na sehemu ya kufanyia benchmark ili kujua kama kupungua ni global issue au ni local issue kama wengi wanavyosuggest. Hatuwezi tukasema ni local kabla hatujafanya comparisons na bandari zingine. Kwa hiyo kama wewe si mmoja wao wanadai zimepungua basi nisamehe kwa hilo ila masuala ya mwalimu wangu wa quantitative research hayakuhusu kwa hiyo stop making assumptions za kijinga jinga about my knowledge of research.. Tujadili kilichopo mezani.Huu usomi mwingine ni shida sana na wakati mwingine unaweza kubishia uhalisia. Hiyo ni hali halisi ilivyo, nimekuwekea meli zilizokuwepo bandarini kwa siku ile. Ukitaka kufahamu ni kwa nini na kwa sababu gani Bandari za Tanzania kwa ujumla wake zinashindwa na Bandari moja ya Kenya fanya utafiti na utakuja suluhu la hilo tatizo. Naona unatuletea vitu vya ajabuajabu. Mara hypothesis mara data, nashindwa kuelewa kama unaelewa maana ya neno 'hypothesis' au 'data'. Mwalimu wako wa Quantitative Research anapata shida sana. Na sijui kama utatoka, hii ni ishara ya supp. Ungerudi darasani upya
Kwa maana Bandari moja ya mombasa imezidi Bandari zetu zote nchini au kwetu zimekuja manuari kubwa.?Ukiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
Mkuu makusanyo ya kodi yanaweza yasishuke, lakini athari yake ni kwamba vyanzo vingi vya mapato vitafungwa na matokeo yake TRA itabuni njia mpya za kodi kila siku, hivyo basi itafika pahala kila hatua unalipia kodi.Mtanzania na unafiki ni sawa na tui na nazi. Walisema mizigo wanayo tena mingi. Leo wanasema ni kweli hakuna mizigo. TRA nao baadae watakuja sema makusanyo ya kodi yameshuka
OKAYKuna claim ya kusema kwamba Dar meli zimepungua na si kwamba Dar padogo na ndo wengi wanachojaribu kusema kwa hiyo nilidhani na wewe unasupport hiyo claim. Kumbe hoja yako imejikita kwenye size. Lakini kuna wanaosema zimepungua ndo mimi nikawa nauliza relative tu wapi? Lazima kuwa na sehemu ya kufanyia benchmark ili kujua kama kupungua ni global issue au ni local issue kama wengi wanavyosuggest. Hatuwezi tukasema ni local kabla hatujafanya comparisons na bandari zingine. Kwa hiyo kama wewe si mmoja wao wanadai zimepungua basi nisamehe kwa hilo ila masuala ya mwalimu wangu wa quantitative research hayakuhusu kwa hiyo stop making assumptions za kijinga jinga about my knowledge of research.. Tujadili kilichopo mezani.
Mombasa ina meli nyingi ukilinganisha na Bandari za TanzaniaKwa maana Bandari moja ya mombasa imezidi Bandari zetu zote nchini au kwetu zimekuja manuari kubwa.?