Kama unataka kujua meli zinazoingia Bandarini Dar na Bandari shindani, angalia website hii

Hata zikiwa tano mradi walipe kodi na mapato yameongezeka
 
Makusanyo yanaongezeka vipi kama neli zimepungua!!
 
Bandari ya mombasa ni kubwa kushinda ya dar hivyo Mombasa kuwa na meli nyingi si jambo ambalo limetokea hiv karibun hata kipindi cha nyuma zilikuwa nyingi,kwasababu bandari ya mombasa inapokea meli kubwa ambazo hapa dar haziwez kuingia.
 
Ukiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
utakuwa fair kwenye hii claim iwapo utaonyesha kwa mwaka uliopita Mombara to Dar ratio ilikuwaje maana mnapenda tu kubwabwaja bila data. Maana Current ratio ni kama 1/3. Sasa mwaka jana na mwaka juzi ratio ipoje? Nimeangalia bandari nyingine inaitwa Beira yenyewe ratio yake ipo sawa na yetu. Je kama mizigo ya Zambia haipiti tena Dar inapitia wapi? Beira au?
 
Hiyo ni hali halisi ya meli zilizokuwa katika bandari tajwa. Hiyo ligi nyingine unayotaka kuianzisha hainihusu.
 
Hiyo ni hali halisi ya meli zilizokuwa katika bandari tajwa. Hiyo ligi nyingine unayotaka kuianzisha hainihusu.
umeclaim kwamba zimeshuka bongo na zimeongezeka mombas kwa hiyo inabdi uprove hiyo hypothesis yako kwa data..
 
umeclaim kwamba zimeshuka bongo na zimeongezeka mombas kwa hiyo inabdi uprove hiyo hypothesis yako kwa data..
Huu usomi mwingine ni shida sana na wakati mwingine unaweza kubishia uhalisia. Hiyo ni hali halisi ilivyo, nimekuwekea meli zilizokuwepo bandarini kwa siku ile. Ukitaka kufahamu ni kwa nini na kwa sababu gani Bandari za Tanzania kwa ujumla wake zinashindwa na Bandari moja ya Kenya fanya utafiti na utakuja suluhu la hilo tatizo. Naona unatuletea vitu vya ajabuajabu. Mara hypothesis mara data, nashindwa kuelewa kama unaelewa maana ya neno 'hypothesis' au 'data'. Mwalimu wako wa Quantitative Research anapata shida sana. Na sijui kama utatoka, hii ni ishara ya supp. Ungerudi darasani upya ili ufahamu maana ya hayo maneno halafu ndio uje jamvini ili ujimwage kisawia.
 
Kuna claim ya kusema kwamba Dar meli zimepungua na si kwamba Dar padogo na ndo wengi wanachojaribu kusema kwa hiyo nilidhani na wewe unasupport hiyo claim. Kumbe hoja yako imejikita kwenye size. Lakini kuna wanaosema zimepungua ndo mimi nikawa nauliza relative tu wapi? Lazima kuwa na sehemu ya kufanyia benchmark ili kujua kama kupungua ni global issue au ni local issue kama wengi wanavyosuggest. Hatuwezi tukasema ni local kabla hatujafanya comparisons na bandari zingine. Kwa hiyo kama wewe si mmoja wao wanadai zimepungua basi nisamehe kwa hilo ila masuala ya mwalimu wangu wa quantitative research hayakuhusu kwa hiyo stop making assumptions za kijinga jinga about my knowledge of research.. Tujadili kilichopo mezani.
 
Ukiangalia idadi ya Meli zilizopo bandarini kwa sasa Dar ni (12), Tanga (0), Mtwara (2) na Mombasa ni (29). Kwa leo hii, Bandari ya Mombasa wametuzidi sana.
Kwa maana Bandari moja ya mombasa imezidi Bandari zetu zote nchini au kwetu zimekuja manuari kubwa.?
 
Mtanzania na unafiki ni sawa na tui na nazi. Walisema mizigo wanayo tena mingi. Leo wanasema ni kweli hakuna mizigo. TRA nao baadae watakuja sema makusanyo ya kodi yameshuka
Mkuu makusanyo ya kodi yanaweza yasishuke, lakini athari yake ni kwamba vyanzo vingi vya mapato vitafungwa na matokeo yake TRA itabuni njia mpya za kodi kila siku, hivyo basi itafika pahala kila hatua unalipia kodi.
 
OKAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…