Kama unataka kuongeza wagombea ruhusu vikao vya chini vikuletee majina zaidi ya matatu

Kama unataka kuongeza wagombea ruhusu vikao vya chini vikuletee majina zaidi ya matatu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Kwa nini Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ndiyo iamue

Kamati Kuu inataka kuleta udikteta.

Kikao cha chini kiseme ,Hawa watu kumi wanataka kuwa Wabunge.
 
Siku zote lazima kuwe na kikao Cha kusimamia maamuzi ya vikao vya Chini ,vikao vya Chini vimepewa mamlaka ya kusimamia
lakini kamati kuu imepewa jukumu la usimamizi ya maamuzi hayo
 
Maji yamekorogeka, wameamua kutanguliza mkokoteni mbele ya Punda.
 
Kwa nini Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ndiyo iamue

Kamati Kuu inataka kuleta udikteta.

Kikao cha chini kiseme ,Hawa watu kumi wanataka kuwa Wabunge.
Sio udikteta ni check and balance.

Majina yatakayoletwa,ni yale ya waliojaza fomu kuomba ubunge/ udiwani, kisha yatapigiwa kura na wajumbe, kamakweli chaguo la vikao vya chini ni fulani basi hata kura za maoni zitaonyesha hivyo.
 
Back
Top Bottom