Siku zote lazima kuwe na kikao Cha kusimamia maamuzi ya vikao vya Chini ,vikao vya Chini vimepewa mamlaka ya kusimamia
lakini kamati kuu imepewa jukumu la usimamizi ya maamuzi hayo
Majina yatakayoletwa,ni yale ya waliojaza fomu kuomba ubunge/ udiwani, kisha yatapigiwa kura na wajumbe, kamakweli chaguo la vikao vya chini ni fulani basi hata kura za maoni zitaonyesha hivyo.