Kama unataka kuwa kupitia TAJIRI kupitia kuajiriwa basi usisome kozi ya UDAKTARI

Kuna madaktari waliosepa na kwenda Botswana sasa ni matajiri.
 
Cha kwanza wewe sio daktari, kwa muandiko huu wewe utakuwa Nurse au Co wa zahanati..
Alafu mkuu unaongelea madaktari gani hasa maana haujafafanua..
Halafu mkuu kila kazi duniani ni kujiongeza,embu fafanua unaongelea udaktari upi hasa hasa ..?
 
Kazi gani ya kuajiriwa wanakuwaga matajiri?na utajiri unapimwa kuanzia kumiliki pesa kias gani?
 
Daktari anaweza kujenga utajiri maana hakuna utajiri unaojengwa kwa kutegemea mshahara tu japo kuajiriwa ni ngazi ya kwanza ya kuelekea kujenga utajiri
 
Sio vizuri kula Rushwa
Ila haya mambo ya kuchomwa moto naona ndio umeyakazania. Sio kila mtu anaamini huo moto wenu wa milele. Unapaswa uelimishe kwa kutoa sababu za maana kwa nini Rushwa ni mbaya, sio eti kwa sababu watachomwa moto.
 
Hawa hapa ni baadhi ya madaktari maarufu duniani (na kanda ya Afrika Mashariki) walioacha au kupunguza udaktari ili kukimbiza ndoto za biashara zilizowafanya wawe matajiri wakubwa:

1. Madaktari Waliogundua Dawa na Mifumo ya Afya (Mabilionea)
    • Dkt. Patrick Soon-Shiong (Utajiri: ~$5.6 Bilioni): Alikuwa daktari bingwa wa upasuaji wa kubadilisha viungo (transplant surgeon) huko Afrika Kusini na Marekani. Aliamua kuacha upasuaji na kuanzisha kampuni ya dawa ambapo aligundua dawa maarufu ya saratani iitwayo Abraxane. Aliuza kampuni zake kwa mabilioni ya dola na sasa anatajwa kama "Daktari Tajiri Zaidi Duniani". [1]
    • Dkt. Thomas Frist Jr. (Utajiri: ~$34 Bilioni - Ngazi ya Familia): Baada ya kufanya kazi kama daktari wa upasuaji jeshini, aligundua kuwa mfumo wa hospitali huru hauna tija. Aliacha utatibu na kuanzisha kampuni ya HCA Healthcare, ambayo ilianza kununua na kuunganisha hospitali nyingi kuwa mtandao mmoja mkubwa wa kibiashara.
    • Dkt. Phillip Frost (Utajiri: ~$2.6 Bilioni): Alisomea udaktari na kufundisha magonjwa ya ngozi (dermatology). Hakufanya kazi ya kutibu kwa muda mrefu; badala yake, alinunua na kuuza makampuni makubwa ya dawa (pharmaceuticals) kama Ivax aliyoiuza kwa $7.6 bilioni.

2. Madaktari Walioingia Kwenye Biashara za Kidijitali na Mtandao (Content Creation)
    • Ali Abdaal: Alikuwa daktari kijana nchini Uingereza (NHS). Wakati wa janga la Ugonjwa wa Virusi vya Corona, aliamua kuacha kabisa kazi ya udaktari ili kujikita kwenye chaneli yake ya YouTube ya masuala ya tija (productivity) na biashara za mtandaoni. Biashara yake sasa inaingiza mamilioni ya dola kwa mwaka kutokana na kozi, vitabu, na matangazo. [1]
    • Dkt. Kevin Jubbal: Alifaulu kuingia kwenye mafunzo ya juu ya upasuaji wa plastiki (plastic surgery)—moja ya fani zinazolipa mamilioni hospitalini. Hata hivyo, aliamua kuacha katikati na kuanzisha Med School Insiders, kampuni ya mtandaoni inayosaidia wanafunzi wa udaktari kufanya vizuri, inayomuingizia kipato kikubwa kuliko mshahara wa udaktari. [1, 2]

3. Madaktari wa Afrika Mashariki Walioacha Udaktari kwa Biashara
    • Dkt. Taii Odero (Kenya): Alihitimu shahada ya udaktari wa binadamu na kufanya kazi hospitalini kwa miaka mitatu. Aliamua kuacha kazi kutokana na msukumo wa ndani (passion). Alianzisha biashara ya utalii na mazoezi iitwayo Authentic Fitness and Adventure, na kwenye mahojiano alikiri kuwa anaingiza mamilioni ya shilingi (Ksh 800,000+ kwa mwezi) na kupata uhuru mkubwa kuliko alivyokuwa hospitalini. [1]

4. Madaktari Walioacha Udaktari kwa Ajili ya Burudani na Sanaa
    • Dkt. Ken Jeong: Alikuwa daktari wa kawaida nchini Marekani akitibu wagonjwa mchana na kufanya uchekeshaji usiku. Baadaye aliacha kabisa udaktari na kuwa muigizaji mkubwa wa Hollywood (anajulikana sana kama Mr. Chow kwenye filamu ya The Hangover) jambo lililompa utajiri mkubwa. [1, 2]
    • Michael Crichton: Alihitimu udaktari katika Chuo Kikuu cha Harvard. Hakufanya kazi ya utatibu hata siku moja; badala yake alitumia elimu yake ya sayansi kuandika vitabu vya hadithi za kusisimua ikiwemo Jurassic Park na kutengeneza tamthilia maarufu ya hospitali ya ER, na kuwa mmoja wa waandishi matajiri zaidi duniani. [1]
Kwa ufupi: Sababu kubwa inayofanya madaktari hawa waache kazi si kwa sababu wanaichukia tiba, bali wanagundua kuwa "Mshahara unakupa maisha, lakini umiliki wa biashara na mifumo (Ownership) ndio unaokupa utajiri."
 
Kwa ufupi: Sababu kubwa inayofanya madaktari hawa waache kazi si kwa sababu wanaichukia tiba, bali wanagundua kuwa "Mshahara unakupa maisha, lakini umiliki wa biashara na mifumo (Ownership) ndio unaokupa utajiri."
 

Attachments

  • mustafa hassanali stylish..jpg
    37.1 KB · Views: 6
Kwa ufupi: Sababu kubwa inayofanya madaktari hawa waache kazi si kwa sababu wanaichukia tiba, bali wanagundua kuwa "Mshahara unakupa maisha, lakini umiliki wa biashara na mifumo (Ownership) ndio unaokupa utajiri."
 
silence is the best reply for a fool
 

Attachments

  • ukimya ni bora kuliko kubishana.jpg
    35.1 KB · Views: 7

Moja ya kitu cha kukiainisha ni kuwa neno UTAJIRI ni subjective/hakuna kipimo cha moja kwa moja cha kusema hapa imeufikia utajiri.

Kwa maneno ya jumla:
Utajiri ni wingi wa mali, rasilimali, fedha, au vyanzo vya mapato ambavyo mtu, jamii, au nchi vinamiliki na kuzidi mahitaji ya kawaida ya maisha.

Kwa mkutadha huu hapo juu kila jamii inawezakuwa na jinsi ya kuwatanabaisha matajiri au tajiri ndani ya jamii husika. Tajiri wa ng'ombe Usukumani au Ukuryani ni tajiri au si tajiri Dar es salaam. Tajiri wa Tanzania anaweza asiwe tajiri Ulaya.

Hakuana ajira ambayo inaweza kuwapatia waajiriwa utajiri wa moja kwa moja kwa mishahara yao bali kwa kujiongeza baada ya kupata pesa ndani ya mifumo yao ya kazi.

Tatizo la kutokupata mali si la aina ya kazi bali ni jinsi gani watu husika wanakuwa na STUDI ZA MAISHA.

Wengi wa watu wanaopata maarifa ya hali ya juu/waliosoma wanahoji sana mambo ya biashara na uwekezaji. Wanajitathimini sana mambo ya:
1: Risk ya biashara.
2: Faida ndogondogo
3: Wanajikuta wameridhika na mshahara wa kila mwezi/comfort zone.
4: Maintain status ya elimu na kazi zao.

Ili kujifunza hili, ndo maana ndani ya madaktari bado kuna watu wa kiwango cha chini kama afisa tabibu/ clinical ofisa wana maisha bora kuliko Daktari au specialist. Hivyo, kwa elimu waliyonayo, naamini kama wangekuwa na studi za maisha na kuziishi kazi hii isingechukuliwa poa kama ilivyo kwa sasa.
 

Attachments

  • 1788968441850.png
    112 bytes · Views: 7
  • 1788968441877.png
    374 bytes · Views: 10
Sio udaktari tu ila kazi yeyote ambayo hukutani na hela ni umasikini
 
KAMA AMBULANCE INARUHUSIWA KUPITA SERVICE ROAD HALAFU GARI YA DAKTARI INAZUIWA DOES IT MAKE SENSE?
KAMA GARI ZA WANASIASA ZINARUHUSIWA HOW COMES YA DAKTARI ISIRUHUSIWE,KATI YA MWANASIASA NA DAKTARI NI YUPI ANAWAHI DHARURA YA KWELI?
 

Attachments

  • AMBULANCE.jpg
    56.8 KB · Views: 6
SIO rahisi KWA daktari kumpigana kwa maadili ya kazi yake na kiapo chake,hakuna daktari anahepiga watu ila anatibu watu,na inawezekana alitukanwa matusi mabaya ama alipokonywa funguo ya gari huku akitukanwa matusi,hivyo katika kuchukua funguo ya gari yake Kali yake ili awahi kwenda kutimiza majukumu yake ndipo sasa Waka angushana katika kupokonyana funguo ya gari,HAKUNAGA DAKTARI ANAYEPIGA WATU,hapo daktari alicheleweshwa kwenda kutimiza majukumu yake ya kuhudumia wagonjwa.DAKTARI YEYOTE HAWEZI KUPIGA WAGONJWA WAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…