Kama unataka mbegu za mazao bora ununue mbegu za Zambia na Kenya,Tanzania hii imejaa watu matapeli na Serikali haijali.

Ni kweli....mfano msimu huu nahisi Mbolea imechakachuliwa saana asee....hasa hasa UREA......pia serikali iko kimya saana wafanya biashara wanaibia wakulima kinyama: Bei ya Ruzuku mbolea unakuta risiti inasoma 76690...ila mfanya biashara anagongesha 77000-80000 no body cares❗❗❗
 
Duu watu wanachakachua Hadi mbolea?
 
Hapo unazungumzia wakulima wakubwa. Sasa wabongo wengi mtu maximum ana ekari 2, 3 au 4 mwisho. Hapo gharama ya kuagiza Kenya au Zambia inakuwaje? economies of scale inagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…