ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.Na Tena ukifuga AUTOMATICALLY njaa inakukimbia