ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chakula ni ibada yenye baraka na laana pia kutegemea unakichukuliaje na unakitumiajeMtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.
Kuna Mtu alishawahi nambia kitu hiki ila yeye alitolea Mfano wa njiwa akanambia wale wachache wanaozitumia vizuri Asubuhi wakizipa chakula hutanguliza na maombi",Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.
Mwagilia mimea hapo nje hata kama haitoi matundaMtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.
exactly!Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.
“Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake; Bali huruma za mtu mwovu ni ukatili."Mtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.Na Tena ukifuga AUTOMATICALLY njaa inakukimbia