Kama unataka Ukuu wa Wilaya nenda DRC. M23 imetangaza kuunda Serikali mpya huko Kivu pamoja na kufanya teuzi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Waasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma, pamoja na Wakuu wa Wilaya.

M23 imetangaza uteuzi huo wiki moja baada ya kuuteka mji wa Goma, huku sehemu kubwa ya maeneo mengine likiwemo eneo kubwa la Walikale, Lubero, na Beni yakiwa bado chini ya udhibiti wa serikali ya DRC.

M23 kivu.png

============================================

Rwandan-backed M23 rebels have seized control of a mining town in eastern Democratic Republic of Congo's South Kivu province, eight sources said on Wednesday, in an apparent violation of a unilateral ceasefire they declared this week.

The capture of Nyabibwe on Lake Kivu takes the rebels a step closer to the provincial capital Bukavu some 70 km (40 miles) south, a city the rebels said last week they had no intention of capturing. M23 announced a ceasefire on Monday.

Eight people, including local officials, a civil society representative, rebels and an international security source, confirmed Nyabibwe had fallen to the rebels.

"There have been clashes since 5 a.m., and it was at 9 a.m. that the town fell into the hands of the rebels. They're in the centre of the town at the moment," said the civil society leader, who like the other sources spoke on condition of anonymity.

Nyabibwe, where mines produce gold, coltan and other metals, is a commercial hub more than halfway between Goma, the capital of North Kivu province that the rebels took last week, and Bukavu.

Congo's Communications Minister Patrick Muyaya told Reuters rebels violated the ceasefire at night and were facing resistance from Congolese armed forces around Nyabibwe.

Source: Reuters
 
Duh! Hizi jumuiya hakuna kitu. Huu ni wito kwa serikali yetu iboreshe mifumo yao ya kijeshi JWTZ iliyoshinda miaka ile usitegemee kushinda miaka hii zama zinavadilika.
Wameenda na silaha hafifu chini ya mwamvuli wa sadc, nilisikia kuna reinforcement,ngoja tusubiri kikao cha sadc dar pia
 
Waasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma, pamoja na Wakuu wa Wilaya.

M23 imetangaza uteuzi huo wiki moja baada ya kuuteka mji wa Goma, huku sehemu kubwa ya maeneo mengine likiwemo eneo kubwa la Walikale, Lubero, na Beni yakiwa bado chini ya udhibiti wa serikali ya DRC.

============================================

Rwandan-backed M23 rebels have seized control of a mining town in eastern Democratic Republic of Congo's South Kivu province, eight sources said on Wednesday, in an apparent violation of a unilateral ceasefire they declared this week.

The capture of Nyabibwe on Lake Kivu takes the rebels a step closer to the provincial capital Bukavu some 70 km (40 miles) south, a city the rebels said last week they had no intention of capturing. M23 announced a ceasefire on Monday.

Eight people, including local officials, a civil society representative, rebels and an international security source, confirmed Nyabibwe had fallen to the rebels.

"There have been clashes since 5 a.m., and it was at 9 a.m. that the town fell into the hands of the rebels. They're in the centre of the town at the moment," said the civil society leader, who like the other sources spoke on condition of anonymity.

Nyabibwe, where mines produce gold, coltan and other metals, is a commercial hub more than halfway between Goma, the capital of North Kivu province that the rebels took last week, and Bukavu.

Congo's Communications Minister Patrick Muyaya told Reuters rebels violated the ceasefire at night and were facing resistance from Congolese armed forces around Nyabibwe.

Source: Reuters
Fursa kwa chawa wanaotusumbua angalao watuache tuwe huru.
 
SHIDA ni wanajesh wenyewe wa kongo
Huo ni utetezi usio na mashiko, tulienda congo kuwasaidia wakongo, hatukwenda kuwapa mtihani wanajeshi wa kongo, tulipigana na m23, wakatushinda, waka take over, hapo jeshi la kongo limehusika vipi? Wao walishindwa kama tu na sisi tulivyoshindwa, we will fight another day, as for now lets call it quit, turudi home.
 
Back
Top Bottom