Willy Manzi
Naibu Gavana mpya wa Kivu ya Kaskazini bwana Manzi Willy Ngarambe kabla ya uteuzi wa tarehe 6 February 2025 akiwa mstari wa mbele kuchukua mji wa Goma chini ya kundi la M23
Manzi Willy Ngarambe ateuliwa kuwa mwakilishi wa diaspora ya M23 kimataifa kufuatia uteuzi huo kuwa June 10 2024 kimataifa
HAKUTAKUWA NA FDLR HUKO GOMA MUDA MAKAMU WA GAVANA WA KIVU KASKAZINI JUU YA UHUSIANO NA JIJI LA GOMA.
View: https://m.youtube.com/watch?v=zbkqAxGU1pA