Ni true, zina potential kubwa yakukupa elfu kadhaa in a single ordinary share as profiti..ila bado raia wataenda kununua hisa za crdb😂😂ambazo washazichelewa.Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi.
Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta.
Asante
Je tukinunua hisa zikiwa zimepanda bei ambapo unasema Kwa 50% nadhani ni hasara maana zinakuwa bei ya juu,Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi.
Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta.
Asante
Za crdb pia sio mbaya miaka 10 ijayo zinaweza fika 2000 kama za nmbNi true, zina potential kubwa yakukupa elfu kadhaa in a single ordinary share as profiti..ila bado raia wataenda kununua hisa za crdb😂😂ambazo washazichelewa.
Miaka 10 iliyopita ilikuwa 200 sasa 500 walionunua kipindi hicho muda huu meno nje 😁Za miaka nenda rudi zinacheza hapohapo
Kumbuka NMB bank serikali ina mkono wake pale, wana stake yakutosha. Ndo maana huwezi ona share price zao zikiwa na volatility kubwa kama za CRDB. CRDB zina trade kwny price ceiling yake labda kuwe na ongezeko la investor confindence na uchumi wa nchi uingie kwenye boom, inaweza ikapanda zaidi ya level ya 500 ish.Za crdb pia sio mbaya miaka 10 ijayo zinaweza fika 2000 kama za nmb
TTCL hapana sumu haijaribiwi kwa kuonjaApart from that, TCCL ina potential nzuri kama ww ni mtu wakulenga. Good day.
Sasa hivi zinauzwaje?Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi.
Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta.
Asante
Majanga hayaTTCL hapana sumu haijaribiwi kwa kuonja
Huyu Richard Njau ni yule alikuwa national Panasonic?Je tukinunua hisa zikiwa zimepanda bei ambapo unasema Kwa 50% nadhani ni hasara maana zinakuwa bei ya juu,
Sent from my V2207 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Huyu Richard Njau ni yule alikuwa national Panasonic?