Kama unatumia akili za ubongo sahau kujua mambo haya

Ni Nani Aliyekwambia Zimeunganishwa Na Kamba...??Tupe Uthibitisho....Na Pia Wewe Ulitumia Akili Za Wapi Kuyafahamu Hayo...Na Hapa Umetumia Akili Za Wapi Kutuwasilishia Haya...?
 
Ubalikiwe mleta topic

Tuendelee kuwaombea vijana hawa wafuata mkumbo
 
Mmili ni hardware na nafsi ni software

Yaani ni sawa na simu ukizima file aimu haiwezi kuwaka
 
Mmili ni hardware na nafsi ni software

Yaani ni sawa na simu ukizima file aimu haiwezi kuwaka
Mkuu umetisha Mungu akubariki kwa mfano mzuri. Kwa hiyo tuseme nafsi na roho ni backend. Code zake zimefichwa ndani kabisa hazionekani. Anazijua developer mwenyewe (MUNGU).
 
Mmili ni hardware na nafsi ni software

Yaani ni sawa na simu ukizima file aimu haiwezi kuwaka
Hii ni logical fallacy ya non-sequitur.

Mnaunganisha vitu visivyokuwa na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Mambo ya Software na Hardware ni mambo ya kiteknolojia. Hayana uhusiano wowote ule na mwili wa binadamu.

Hakuna uhusiano wowote ule wa mwili wa binadamu na maswala ya Hardware na Software.
 
Ni Nani Aliyekwambia Zimeunganishwa Na Kamba...??Tupe Uthibitisho....Na Pia Wewe Ulitumia Akili Za Wapi Kuyafahamu Hayo...Na Hapa Umetumia Akili Za Wapi Kutuwasilishia Haya...?
Mkuu kinacho kuzuia kuelewa ndio hiyo akili ya kwenye ubongo.
 
Yana uhusiano mkuu chukulia mfano wa robot. Ndani linatumia software ambayo ndani yake kuna programming codes. Hizo codes ndizo zinazo dhibiti utendaji wa umbo la nje la robot (Hardware).
 
Yana uhusiano mkuu chukulia mfano wa robot. Ndani linatumia software ambayo ndani yake kuna programming codes. Hizo codes ndizo zinazo dhibiti utendaji wa umbo la nje la robot (Hardware).
utakesha, πŸ˜πŸ˜πŸ˜… hawezi elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…