Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,578 Reaction score 31,662 Aug 10, 2025 #41 Meneja Wa Makampuni said: Yana uhusiano mkuu chukulia mfano wa robot. Ndani linatumia software ambayo ndani yake kuna programming codes. Hizo codes ndizo zinazo dhibiti utendaji wa umbo la nje la robot (Hardware). Click to expand... Wewe sema tu ni hadithi zako za kwenye hizo hekaya zenu za Biblia. Sio kuleta mifano isiyohusiana kabisa.
Meneja Wa Makampuni said: Yana uhusiano mkuu chukulia mfano wa robot. Ndani linatumia software ambayo ndani yake kuna programming codes. Hizo codes ndizo zinazo dhibiti utendaji wa umbo la nje la robot (Hardware). Click to expand... Wewe sema tu ni hadithi zako za kwenye hizo hekaya zenu za Biblia. Sio kuleta mifano isiyohusiana kabisa.
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,690 Reaction score 6,380 Aug 11, 2025 #42 Meneja Wa Makampuni said: Mkuu kinacho kuzuia kuelewa ndio hiyo akili ya kwenye ubongo. Click to expand... Na Wewe Kinachokufanya uelewe Ni Akili Za Wapi....???
Meneja Wa Makampuni said: Mkuu kinacho kuzuia kuelewa ndio hiyo akili ya kwenye ubongo. Click to expand... Na Wewe Kinachokufanya uelewe Ni Akili Za Wapi....???
hiphop nature Senior Member Joined Jun 29, 2025 Posts 188 Reaction score 160 Aug 11, 2025 #43 HOLY BLINDFOLD said: Na Wewe Kinachokufanya uelewe Ni Akili Za Wapi....??? Click to expand... Nadhani ametumia akili zake za umeneja kwenye makampuni
HOLY BLINDFOLD said: Na Wewe Kinachokufanya uelewe Ni Akili Za Wapi....??? Click to expand... Nadhani ametumia akili zake za umeneja kwenye makampuni