Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Habari zenu,
Kabla ya kuanza naomba niwatahadharishe ya kwamba kama mtu siyo muumini wala siyo kesi simlazimishi kukubaliana na mimi, asijisumbue!
Sasa tuendelee...
Dini ni mfumo ambao unategemea zaidi masimulizi ya kale. Masimulizi hayo yanahusu watu wema na wabaYa ambapo muumini analazimika kufuata yaliyofanywa na watu wema na kujiepusha na yaliyofanywa na watuwabaYya
Kulikuwa na mtu mwovu sana aliyeitwa Firauni (Farao) ambaye alikusanya watu akatangaza kuwa yeye ni Mungu. Mkewe akamchalenji kwamba Mungu gani anakwenda haja kama watu wengine. Watu nao wakashikilia hoja hiyo ndipo jamaa akaamua kujiandalia mfumo ndani ya nyumba yake ambao ulimwezesha kumaliza haja zake bila kuonekana na watu.
Mfumo huo aliouanzisha mtu huyo ndio huu ambao kwa sasa wameuboresha na kuuita self contained maarufu kama selfu kontena. Kwahiyo ndugu yangu unayeshangilia mfumo huo jitafakari kwa mara nyingine
Ahsanteni