RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Yaweza kuwa ni kweli Firauni mume wa Asia ndiye mwanzilishi wa mtindo huo wa nyumba. Lakini si kila alilolianzisha mwovu ni baya na halipaswi kufuatwa. Kuna mengine ni mazuri na yakuigwa kama la choo ndani.
Mwa mfano nijenge choo nje usawa huu nipigwe nondo usiku kisa nitakuwa nimemuiga firauni ? Mbona Mkewe hakudai talaka japo alijua jamaa alijitangazia Uungu na sio MUNGU. Lakini aliishi nae akiilinda ndoa.