Hata cheche ya mavi ni mavi sasa unakaa nayo vipi ndani ?Vyoo vya ndani siyo vya shimo, uchafu husukumwa kwenda nje, haubaki kama ule unaozurula nao makalioni kutwa nzima.
Mkuu ashakum si matusi nilikosa tafsida ya neno "mpumbavu" ila ndio uache upumbavu wakoKumbe mwenye elimu huwa anatukana watu hovyo hata asiowajua ?
Unaogopa kulala nayo wakati oooote ulipo una mavi tumboni mwakoYaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787]
Ukivuta bangi jitahidi kulala kwanza kupunguza ukaliMkuu ashakum si matusi nilikosa tafsida ya neno "mpumbavu" ila ndio uache upumbavu wako
Elimu yako ndiyo inakutuma utukane watu usiowajua hovyo hovyo?Mkuu ashakum si matusi nilikosa tafsida ya neno "mpumbavu" ila ndio uache upumbavu wako
Alichalenjiwa na mkewe bado akajenga selfukonteini ili mkewe asimuone au?Habari zenu,
Kabla ya kuanza naomba niwatahadharishe ya kwamba kama mtu siyo muumini wala siyo kesi simlazimishi kukubaliana na mimi, asijisumbue!
Sasa tuendelee...
Dini ni mfumo ambao unategemea zaidi masimulizi ya kale. Masimulizi hayo yanahusu watu wema na wabaYa ambapo muumini analazimika kufuata yaliyofanywa na watu wema na kujiepusha na yaliyofanywa na watuwabaYya
Kulikuwa na mtu mwovu sana aliyeitwa Firauni (Farao) ambaye alikusanya watu akatangaza kuwa yeye ni Mungu. Mkewe akamchalenji kwamba Mungu gani anakwenda haja kama watu wengine. Watu nao wakashikilia hoja hiyo ndipo jamaa akaamua kujiandalia mfumo ndani ya nyumba yake ambao ulimwezesha kumaliza haja zake bila kuonekana na watu.
Mfumo huo aliouanzisha mtu huyo ndio huu ambao kwa sasa wameuboresha na kuuita self contained maarufu kama selfu kontena. Kwahiyo ndugu yangu unayeshangilia mfumo huo jitafakari kwa mara nyingine
Ahsanteni
Anaeweza kumuenzi ni bhakressa tu😅 ww na mimi tukae kwa kutulia🤩Nataka nimuezi selemani niwe na wake ata 200 na vimada 70
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aliyekwambiya mavi hukaa chumbani ni Nani?Yaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787]
Yaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787]
Uchafu haukai ndani, uchafu husukumwa na maji kwenda nje kwenye shimo kupitia kwenye mabomba, choo cha shimo uchafu unauona na joto na harufu huganda kwenye mwili wako, ukitoka chooni lazima ujifukizie ubani au manukato kwani utanuka kuliko nzi.Hata cheche ya mavi ni mavi sasa unakaa nayo vipi ndani ?
Achana na sisi na maujinga ya kwenye mavitabu yenu yaliyoletwa na majahazi.Habari zenu,