Spartacus boy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,727 Reaction score 3,464 Jan 16, 2022 #41 kawoli said: Yaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787] Click to expand... Yanakuwa nje ya nyumba ila mlango wa choo unakuwa ndani
kawoli said: Yaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787] Click to expand... Yanakuwa nje ya nyumba ila mlango wa choo unakuwa ndani
Spartacus boy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,727 Reaction score 3,464 Jan 16, 2022 #42 elvischirwa said: Vyoo vya ndani siyo vya shimo, uchafu husukumwa kwenda nje, haubaki kama ule unaozurula nao makalioni kutwa nzima. Click to expand... Eti kuzurura nao
elvischirwa said: Vyoo vya ndani siyo vya shimo, uchafu husukumwa kwenda nje, haubaki kama ule unaozurula nao makalioni kutwa nzima. Click to expand... Eti kuzurura nao
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Jan 16, 2022 #43 kawoli said: Yaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787] Click to expand... Wee nawe lijinga la wapi? Kwani self contained inakuwa na choo cha shimo? Nani alikwambia kwamba mimavi huwa zinabaki humo humo?
kawoli said: Yaani ulale na mimavi chumbani? Huu sio ustaarabu [emoji1787] Click to expand... Wee nawe lijinga la wapi? Kwani self contained inakuwa na choo cha shimo? Nani alikwambia kwamba mimavi huwa zinabaki humo humo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 16, 2022 #44 Za kuambiwa changanya na za kwako...