double click JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 569 Reaction score 949 May 6, 2013 #1 awali ya yote polen kwa mihangaiko! Naomba kujua yafuatayo kuhusu vyuo cha Veta a]kwel ajira zake zipo? b] je, wanatoa diploma? Na kama wanatoa kwa qualification zip? c]je, ni kozi gani ambayo ni nzur kusoma katika vyuo vya Veta? Nawasilisha.
awali ya yote polen kwa mihangaiko! Naomba kujua yafuatayo kuhusu vyuo cha Veta a]kwel ajira zake zipo? b] je, wanatoa diploma? Na kama wanatoa kwa qualification zip? c]je, ni kozi gani ambayo ni nzur kusoma katika vyuo vya Veta? Nawasilisha.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 May 6, 2013 #2 Majibu, a) ajira zipo ni juhudi zako tu c) unapenda usomee nini haswa?
double click JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 569 Reaction score 949 May 6, 2013 Thread starter #3 Mtoto halali na hela said: Majibu, a) ajira zipo ni juhudi zako tu c) unapenda usomee nini haswa? Click to expand... Napenda sna civil drafting au road construction. Vp wanatoa diploma?
Mtoto halali na hela said: Majibu, a) ajira zipo ni juhudi zako tu c) unapenda usomee nini haswa? Click to expand... Napenda sna civil drafting au road construction. Vp wanatoa diploma?