kama unaufahamu wowote kuhusu VETA naomba msaada wako.

kama unaufahamu wowote kuhusu VETA naomba msaada wako.

double click

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
569
Reaction score
949
awali ya yote polen kwa mihangaiko!
Naomba kujua yafuatayo kuhusu vyuo cha Veta

a]kwel ajira zake zipo?

b] je, wanatoa diploma? Na kama wanatoa kwa qualification zip?

c]je, ni kozi gani ambayo ni nzur kusoma katika vyuo vya Veta?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom