Kama unawafaham jiunge wanasaidia

liverpool2012

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
102
Reaction score
23
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
 
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
Unaruhusiwa ku-edit hiyo habari yako, haijaeleweka kama unauliza ili upate msaada au unahamasisha watu. Kama unahamasisha, je unawezaje kuhamasisha kitu ambacho wewe mwenyewe huna uhakika nacho?
 
Ebana m niliona ITV nakatamani kujiunga na hicho kikundi so mwenye taarifa anipatie.
 
bado hujaeleweka na unachapia sana kiingereza na hata kiswahili inaonyesha ni tatizo kwako
 
daaaa,nimeamini,kweli tenda wema uende zako!!!
 
Unaruhusiwa ku-edit hiyo habari yako, haijaeleweka kama unauliza ili upate msaada au unahamasisha watu. Kama unahamasisha, je unawezaje kuhamasisha kitu ambacho wewe mwenyewe huna uhakika nacho?

ndo mana mpaka sasa hana ajira huyo
 
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.

umakini unahitajika kwa kila jambo ulifanyalo, daima mtu makini mambo yake hufanikiwa! Mkuu, hujawa makini kuandika ulichoandika, thus why wengi wamesema hawajakuelewa unataka nini!
 
anahitaji msaada, lugha za kashfa zitamkatisha tamaa, do wat u can to make people proud of u sir/madam
 
hakuna aliyejipanga hapo cha muhimu wasiliana na ITV kwa kuboreshewa jambo hilo ASAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…