liverpool2012
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 102
- 23
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaruhusiwa ku-edit hiyo habari yako, haijaeleweka kama unauliza ili upate msaada au unahamasisha watu. Kama unahamasisha, je unawezaje kuhamasisha kitu ambacho wewe mwenyewe huna uhakika nacho?Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
Unaruhusiwa ku-edit hiyo habari yako, haijaeleweka kama unauliza ili upate msaada au unahamasisha watu. Kama unahamasisha, je unawezaje kuhamasisha kitu ambacho wewe mwenyewe huna uhakika nacho?
Jana niliona kwenye ITV habari za saa kwamba kuna kikundi cha profesition wasio na kazi (GPD) jamani tunijiunge na kundi hili,mwenye taarifa wapo wapi atoe habari.
nenda kwanz short cors ya kuandika ndy ujiunge na hicho unachokitaka
Unaonaje ukianza wewe "Cors" ndo nini?