kuna sehemu nimesema kama natoa rushwa mkuu, nimesema nampatia ya shukrani tuu
Ontario kule twitter kawadharau sana eti nyie ni wacheza P.S
nampa ya shukrani tuUmesema utampatia kama shukrani.. na umemwambia kabla hajafanya jukumu unalolotaka akufanyie, milioni hiyo ni kwa ajiri ya kumtamanisha .. ilipaswa usiiseme kwake hiyo shukrani mpaka akufanyie kazi umshtukize kumpatia.. sabab umetangaza kabla ya kazi hiyo ni rushwa tu
Unatafuta kutapeliwa weweHabari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini
Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years...
nampa ya shukrani tu
Kazi Serikalini zinapitia Utumishi, Siku hizi hakuna njia za panya. Kuna kazi za e- government authority zilitangazwa Utumishi uliziona? Walikua wanataka watu Kama wwHabari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini
Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years...
nashukuru mkuu, ila kazi zipo za serikali hambazo haupitii utumishi mkuu, sio zote unapitia utumishiKazi Serikalini zinapitia Utumishi, Siku hizi hakuna njia za panya. Kuna kazi za e- government authority zilitangazwa Utumishi uliziona? Walikua wanataka watu Kama ww
Ok kila la kheri Ila usikose kupitiapitia websites ya Utumishi, Wanatoaga mashavunashukuru mkuu, ila kazi zipo za serikali hambazo haupitii utumishi mkuu, sio zote unapitia utumishi
Tatizo we unaonekana kilaza sana....kazi za ICT zipo nyingi sana.....mziki wa DUCE sio mchezo kama upeo duni ..nyie ndo wala mnapataga 2 afu kazi mkipata hamna uwezo raia wakitaka huduma mnasema "system ipo chini"na hamna uwezo kufixnashukuru mkuu, ila kazi zipo za serikali hambazo haupitii utumishi mkuu, sio zote unapitia utumishi
aliwapa kazi ya kuhack account zake atawalipa kasema bongo hakuna IT ni wachezaji wa play station tuKasemaje ontario huko
TAKUKURU wana hasira sana baada ya kuzinguliwa kwenye lile jengo lao.Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini
Elimu yangu ni: Degree ya ICT
Jinsia: Kiume
Umri: 29
Uzoefu kazini: 4 Years.
Uzoefu katika mambo yafuatayo:
1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social engineering )
2. To secure system by (linux, DNS, and cryptography )
3. To secure connectivity like ( switch, router, firewall, VPN, IPS and IDS)
4. Digital forensics investigation (mobile and computer )
5. Computer networking
6. system analysis and design
7. IT support, project management, and fleet management system
8. Security system (cctv camera, alarm system, electric fence, and bio metric finger print)
Mtu atakayenisaidia kupata nitampatia shilingi milioni (1,000,000) moja kama shukrani.
Note: Najua ntaambiwa kuna kupitia ajira portal na mimi nimejiunga uko muda mrefu pasipo mafanikio yoyote.
anayeweza kunisaidia karibu sana na mungu awabariki.
Napatikana Dar es salaam
0678815431