Anthony peter
Member
- Feb 16, 2011
- 18
- 0
Hahahaha!BK bwana!Labda wapo humu acha ajiopolee!okay mimi na kutakia mafanikio mema ila kwa hivyo ulivyosema mchuchu utawapata wenye busara ngoja lizy aje utasikia
Kama upo tayari kunipa kad yako ya benk niwe nachukua hela nikihitaj. pia uwe nausafiri na jumba la kifahali nakuja
huna hata lugha nzuri ya kumuambia mtu mzungumze,hata kama umebaki duniani mwenyewe sikutaki,sisi si bidhaa,ongea vizuri!!!!